Barabara ya
juu inayoendelea kujengwa eneo la mkutano la tazara ,zinapounganika barabara ya
mandela na nyerere inayo endelea na ujenzi wa barabara.
Pia ni mradi mkubwa utakao punguza gharama za usafirishaji
mizigo ndani na nje ya nchi mradi uo wa ujenzi wa barabara ya juu ya fly over
tazara utakaokamilika ifikapo oktoba 2018 ambapo hutapunguza adha ya msongamano
kwenye barabara hiyo
MWANAMKE MCHAWI ASHAMBULIWA BAADA YA KUFUMANIWA NA WAKAZI BY MELINDA MWENDA
Mwanamke anayesemekana kuwa mchawi ameshambuliwa na umati
katika mtaa wa sokoni mjini kipawa hapa dar es salaamu
Inadaiwa amekamatwa mapema leo alfajiri baada ya wenzake
wawili kutoroka na kubaki pekee yake
kwa mujibu wa wakazi wa Kipawa jijini Dar es salaam
mwananmke huyo alikuwa uchi wa mnyama wakati alipofumaniwa eneo la tukio akiwa
juu ya paa ambapo alitaka kushambuliwa.
Baadaye wakazi wa eneo hilo waliokuwa na hasira walitaka
kumchoma moto kwa kutumia magurudumu ya gari.
Wakazi hao wamedai kuwa mwanamke ni mchawi ambaye amekuwa
akiwahangaisha mara kwa mara katika mtaa huo wa kipawa.
Waliomshambulia wameeleza kuwa baada ya kumpa kichapo cha
mbwa hakuweza kuzungumzia tukio hilo wala kuonyesha hisia zozote katika tukio
hilo.
Baada ya tukio hilo serikali ya mtaa iliamua kumchukua na
kumuhifadhi ili kuokoa maisha ya mwananmke huyo
CHANGAMOTO MPYA ZAANZA KUJITOKEZA
KWENYE VITUO VYA MABASI YAENDAYO KASI
Baada ya wakaazi wa jijini dar es salaam kuanza kulipa nauli
kwenye mabasi yaendayo kasi changamoto nyingi zimeanza kujitokeza kwenye vituo
hivyo kwa wasafiri wanandao sehemu mbali mbali jijini dare s salaam kuwepo na
foleni
Abiria wamelalamikia serikali kulingana na usumbufu
wanaoupata katika vituo hivyo ikiwemo upatikanaji wa tiketi za kupandia gari
kwenye vituo kadhaa vya mabasi hayo yaenao kasi kuwa na foleni sana na wengine
kuishia kusimama katika gari
Abiria wakiwa wameeka foleni k
wamewewa ajili ya kukata tiketi huku wengine wakiwa wengine wakiwa wameweka foleni na kusubiriwa
kurudishiwa chenji zao na wengine kusubiria kupanda katika mabasi ayo yaendao
kasi ili kuepuka na foleni ya mabasi ya kawaida ijulikanayo daladala
No comments:
Post a Comment