Thursday, 27 October 2016

LAIBONI YAIPIGIA MAGOTI TSJ

Na
Mary Peter

Shule ya msingi laiboni iliopo Loliondo mkoani Arusha wametoa shukrani zao za dhati kwa wanafunzi na uongozi wa chuo cha uandishi wa habari (Tsj) kilichopo jijini dar es salaam katika ziara ya yamasomo iliyofanyika shuleni hapo jijini Arusha.

Shukrani hizo zilitolewa na mwalimu mkuu wa shule Bi Roggate kufuatianamisaada ambayo walipewa na mratibu wa masomo Bi Blandina semaganga kama muwakilishi akisaidiana na Raisi wa chuo cha (Tsj) Bwn Sabore .M.Laizer Zawadi ambazo zilikabidhiwa shuleni hapo ni pamoja na boksila sabuni ya unga sabuni ya kipande,madaftari,kalam,na kukabidhiwa kwa mwalimu mkuu wa shule hiyo Bi Roggate na kwa baadhi wa wanafunzi .

Picha inamuonesha mwalimu mkuu wa shule ya msingi Laiboni Bi roggate Ellia akiwa kushoto anapokea zawadi kutoka kwa mratibu wa masomo Tsj  upande wake wa kulia

Mbali na zawadi ambazo zilitolewa shuleni hapo lakini pia raisi wa Tsj bwn Laizer alisemakuwa " kiukwelishule hii imekuwepo kwa miaka mingi kutokana na jitihada za mzee wetu Laibon Mapii kwakuungana nayemkono na kuonesha kuwa bado tuna thimini mchango wake katika jamii tunaomba mpokee kwa dhati hicho ambacho tumewakabidhi kama iahara ya Upendo kwenu " alisema Bwn Sabore .M.Laizer.
picha ina muonesha Raisi wa chuo cha Tsj akiwa ana mkabidhi zawadi  mmoja wa wanafunzi wa shule ya Laiboni

Mbali na kwa shule hii imefanya jitihada kubwa na kuhakikisha wanafunzi wanapata chakula hapo hapo shuleni lakini changamoto kubwa ambayo wana kumbana nayo ni upatikana naji wa maji kuwa wa shida na kupelekea kununua maji kutoka mto wa Mbu au kutumia ya mvua nakama yakikosekana wanafunzi kukosa chakula (Tsj)walitoa mchango kwaajili ya upatikananaji wa maji kwa shule hiyo.
picha inaonesha picha ya pamoja ambayo imepigwa kwa pamoja  na mwalimu mkuu wa shule ya Laiboni akiwaa katika amevaa sketi.

Licha ya shule kuwepo tokea mwaka 1997 kuwa takribani miaka kumi na Tisa mpka Leo lakini bado kuna baadhi ya vitu ambavyo vina changia kuonsha shule hiyo nikama imekuwepo mwaka mmoja uliopita kutokana na miundo mbinu kuwa haikidhi mahitaji lakini hata pia ukosefu wa waalimu
picha inaonesha wanafunzi wakiwa nje wanasoma  na alipo mbele yao ni mwalimu akiwa anafundisha.
 .

No comments:

Post a Comment