Thursday 27 October 2016

Wafanyazi wa tegeta hoi

Na jesca lutego,dar es salaam

 Wafanyazi wa tegeta  wameilalamikia serikali ya Mkoa kuwamisha sehemuya kufanya biashara zao kwa kuwa washamishwa San na kumwomba Mkuu wa Mkoa wa dar es salam kuwafikiria vizuri





  Wamesema hayo Leo kufuatia na nauli ya Mkuu wa Mkoa paulo Makonda kuwataka wafanyakazi wa mnada wa eneo hilo wanatakiwa kuhama na kusitisha ufanyaji wa kazi katika eneo hilo la kiwanja cha mpira.

Kwani ni sehemu ya michezo nasio  ya biashara.



 Mfanyakazi mmja lipongea na mwandish wetu alisema kuwa  hali kwa sasa kwa upande WAP imekuwa yofauti sana kwani walitegemea   mnada hyo ambao unafanyika Mara moja moja kwa wiki ni njia pekee ya kujiongezea kipato.

   Wafanyazi hap walionekana na sura zenye uhuzuni kwani hli yao kwa sasa ni ngumu na upatikanaji wa hela haueweki  mwandish wetu aliona watu wafanyazi wamekaa bila cha kujua cha kufanya.

No comments:

Post a Comment