Thursday, 27 October 2016

UKATA WAPUNGUZA IDADI YA WANAFUNZI SAFARI ARUSHA


UKATA WAPUNGUZA IDADI YA WANAFUNZI SAFARI ARUSHA
Na Agustino Luambano
Wanafunziwachuo cha uandishiwahabari cha TSJ wameelezakuwasababuiliyowafanyawashindwekuungananawenzaokatika safari yamasomomkoaniArushaniukosefuwafedhayaadapamojanagharamaza safari ambayowengiwaowalidaikuwakiasi cha pesakiliochopangwanikikubwa.
Kiasi cha pesakilichopangwakwaajiliya safarikilikuwanishilingilakimojaambayopiamchangiajianatakiwa awe amekwishakukamilishaadayotendipoatakaporuhusiakulipapesahiyonakusafirikimasomonawanafunziwenginejamboambaloliliwawiavigumuwanafunziwengiwachuohicho.
“Nilipehelaya tourwakatihataadabadosijamaliza” nimojayamajibuyaliyotolewanamwanafunziTeklaZachariaalipoulizwakuhusuushiriki wake katika safari hiyoyakimasomo.
Viongoziwaserikaliyawanafunziwa TSJ [TISJOSO] wameelezakuwaidadiyawatuwaliohudhuria safari yakimasomomkoaniArushamwakahuuimekuwanindogoukilinganishanamwakajanaililpofanyikamkoaniIringa, ambapozaidiyawanafunzimiamojawalihudhuriahukumwakahuuwakiwanichiniyawanafunzisabini.
Safari zakimasomochuoni TSJ hufanyikakilamwakamweziwakumiambapomwanafunzianapatafursayakujifunzavituvipyanjekabisayamaeneoyashulenahatamaeneoanaoishi. Kwamwakahuu safari hiiilifanyikamkoaniArushamudawasikunnekuanziatarehekuminanane.

No comments:

Post a Comment