Thursday, 27 October 2016

WAHITIMU WASHAURIWA KUWA WABUNIFU

Na Rehan Seraphee

Wahitimu wa s hule ya msingi kibirizi mkoani kigoma wameshauriwa kuwa wabinifu pindi wawapo mtaani kutokan na hali ya sasa kuwa ngumu kimaisha
mwanafunzi baraka akiwa na wazazi wake baada ya kupokea cheti cha elimu ya msingi
  .
 wamehambiwa hayo walipo kuwa wakipewa mawadhisha na mkuu wa wa shule hiyo ya msingi ya  KIBIRIZI  na kuwambia kuwa hali ya sasa si kama zamani wanakuwa kuwa watulivu majumabani na kuwasaidia wazazi kazi mbali mbali na wao wenyewe kufanya kazi zinazo stahiki katika jamii ya kitanzania.
   mmoja wa walimu ambaye ni wataaluma anasema  kuwa  anawashukuru wanafunzi hao kwa kuwa watulivu na pia anaamini kuwa hjata katika mitihani yao watafanya vizuri amesema hayo alipoikuwa amepewa nafasi ya kuongea naq wanafdunzi hao.
wahitimu wakiwa kwa pamoja baada ya kupokea vyeti vyao vya elimu ya msingi

   mwalimu wa nidhamu bwana  MSAFIRI  amesma kuwa nidhamu waliuo kuwa nayo mbele ya walimu wakaiendlezea kwa wazazi kwani kwa sasa wazazi wana wategemea sana katika kila kitu na wasitumie muda mwingi kuzurura mitaani.


mwanafunzi mmoja ambaye aliwaakilisha wenzeka alie julikana kwa jina la  ASMA NGASONGWA amesema kuwa watazingatia mafunzo  na nidhamu ambayo walio fundishwa na walimu wao na kuwaahidi nyumbani watakuwa watuliuvu na pia watashirikiana na wanakijiji katrika kazi za kijami kwani ndio wakati wao wa sasa kuwaonyesha wanaowezo wa kufanya kazi.
Wahitimu wa shule ya msingi kibirizi Eastee damian na Baraka josephu wakifurai kwa pamoja

No comments:

Post a Comment