NA HIDAYA
YUSUPH
Dar es
salaam
Ikiwa ni
dhumuni la serikari ya awamu ya tano katika kufanya maendeleo inaonyesha kuwa
inatiza maendeo kwa wananchi wake wakati rais wa jamhuri ya muungano wa
Tanzania Dk. Jonh Magufuri alipofungua rasmi ujenzi wa flyover imeonyesha
kuendelea kwa ujenzi huo maeeneo ya tazara.
Muheshimiwa Dk.
John Magufuri alifungua rasmi ujenzi wa flyover aprili 4 mwaka huu aliweka jiwe
la msingi kuashiria kuanza kwa ujenzi katika makutano ya tazara ambao
unatarjiwa kudumu kwa takribani miaka mitatu
Mwonekano wa sasa wa makutano ya tazara baada ya Rais wa nchi kuweka jiwe la msingi nakuruhusu ujenzi kuanza |
Hii
inaashiria kuwa dhumuni la serekali ya awamu ya tano kuleta maendeleo ya
uhakika katika nchii hii ya Tanzania na kuonyesha kuwa kufikia octoba mwaka
2018 ujenzi huu utakuwa umekamilika
nakuwafanya wananchi kuepukana na adha ya foleni
Foleni
imekuwa ni changamoto kubwa katika ujenzi wa bara bara hio kutoka na namna
ambavyo barabara hizo zmeungana katika eneo la tazara hali inayofanya magari kushindwa
kupita kwa wakati hususani yakiwemo magari makubwa ya mizigo.
Foleni ya magari yanayotoka buguruni kuelekea maeneo ya Temeke na Gongo la mboto yakisubilia kuruhusiwa katika makutano ya tazara |
Wakizungumza
kwa nyakati tofauti tofauti madereva pamoja na makondakta wanaotumia barabara
hizo wamesema kuwa wanahitaji maendeleo
lakini foleni iliyopo kwasasa inawagarimu hali inayowafanya wanashindwa
kukamilisha hela za mabosi wao
Magari yakutoka Temeke na Gongo la mboto yakiwa yamesubiliwa kuruhusiwa katika makutano ya tazara |
Vilevile baadhi
ya wananchi wanaotegemea kupitia katika makutano ya tazara wamelalamika kuwepo
kwa foleni hiyo na kushidwa kufika maofisini kwa wakati hali inayofanya wengi
kushindwa kufanya kazi zao kwa wakati
Magari yakiendelea na ujenzi nyakati za mchana katika eneo la makutano ya tazara |
No comments:
Post a Comment