Na Fikiri yusuph abdallah
Chuo cha uandishi wa habari tsj kilichopo ilala bungoni mtaa
wa sharifu shamba jijini dare s salaam
kimeamua kuchukua uamuzi wa
kuweka alama za barabarani zebra krosi kwa dhumuni la kupunguza ajari ambazo
zimkuwa ziktokea mara kwa mara katika maeneo hayo.
Baada yakufanyika kwa zoezi hilo kwa sasa baadhi ya ajali
zimepungua katika maeno hayo kwa kiasi wakati hapo awali baadhi ya wanafunzi wa
chuo hicho na watembea kwa miguu walikua wakipata ajali kwa kiasi kikubwa sana
waliweza kupoteza maishakutokana na baadhi ya
madeleva wakiwa wanaendesha vyombo vya moto.
No comments:
Post a Comment