Na Tekla Zakaria
Sherehe
kubwa ambayo ilijumuisha walimu na wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari
(tsj) inavyo faamika kama bash,kumeonekana vipaji vya aina mbalimbali.
Bash ambayo
hufanyika mara moja kwa mwaka,mwaka huu kumekuwa na na mashindano ya michezo mbalimbali
iliyofanywa na wanafunzi, ikiwemo muziki wa aina tofauti.
Hata hivyo kulikuwepo
na mashindano ya miss na mr ambayo yaliwakilishwa na wanafunzi wa chuo hicho
pamoja na uvaaji wa nguo za kiasili.
Sanjari na
hayo sherehe hiyo iliuzuliwa na mgeni rasmi, Bwana Denis Richard meya wilaya ya
kinondon iambaye aliitika wito huo kwa kuwa mgeni wa sherehe hiyo.
Bwna Denis
ambaye alitoa shukrani kwa mwaliko huo na kuanza kukata keki kama zawadi kwake
.
Hata hivyo
walimu na wanafunzi walioudhuria katika sherehe hiyo walifurahishwa na mambo
mengi yaliyojitokeza na walipata kujifunza vitu mbalimbali.
No comments:
Post a Comment