Na Samir Mwegelo
Wakati mh: Raisi Dr John Pombe Magufuli
akitoa onyo kali kwa wasio zingatia usafi wa mazingira pamoja na ndani kwa
ujumla,ndipo imebainika kuwa manispaa ya ilala imekuwa na changamoto kubwa
katika kufanikisha suala la kufanya usafi.
Hali hii imetoa changamoto na malalamiko
kwa serikali baada ya kugundulika zoezi hili na wachache na wengine kutofanya
na shughuli nyiñgine, jambo la usafi wa mazingira linaumuhimu hasa katika kulinda
matatizo ya mlipuko wa magonjwa hatarishi yanayo sababisha vifo hasa kwa
watoto.
Shabani Ndagala mkazi wa maeneo ya sharifu
shamba katika wilaya ya Ilala nae amekiri kuwa tatizo hili linasababisha migogoro hasa kwa wachache wanaowajibika
katika utendaji wa usafi na wengine kutojishughulisha na kuacha maeneo au
mazingira yanayowazunguka yakiwa katika hali
mbaya.
Na
sameer
No comments:
Post a Comment