Thursday, 27 October 2016

Makumbusho hapatoshi

Na jesca lutego ,dar es salaam

 Wafanyakazi wanao Fanya kazi ya uchuzi wa bidhaa kando kando ya Barbara wametakiwa kuwa makin na kazi zao kwani wanahatari ya kupata ajari kutoka na na magari yavyopaki vibaya.


 Ameyasema hayo Leo Mkuu wa wilaya ya kinondoni alipokuwa anawambia  wafanyakazi wa makumbusho na kuwataka kama hawataweza kukaa vizur eneo la bata barani wanatakiwa wahame.

Mh happy wamesema kuwa serikali imewatengea maeneo mazuri ya biashara lakin bado wauzaji wa vitu wanataka nje ya masoko salio pangiwa kupiga hilo wamesema kuwa wanatakiwa kuwa makin kwani WAP ndio wameyafata magari hayo.




 Na serikali haitohusika na tatzo lolote  kwani lipo nje ya uwezo Wao


Tsj FM ilipotaka kuzungimza na wafanyazi biashara hao kuhusiana na nauli ya  ya mheshimiwa hiyo walikataa kuzungumzia na kasema WAP sio wasemaji km serikali ndo umeamua haina shida. 

No comments:

Post a Comment