Thursday 27 October 2016

MAJENGO YANAVYOWATIA HOFU WAKAZI UNUNIO



Na Agustino Luambano
Wakaziwaeneo la Ununiojijini Dar es salaam wameoneshahofuyaokutokananauwepowamajengoambayokwamudasasahayajaendelezwawalakukaliwanawatuhukuyakionekanakujengwakwagharamakubwa.
Majengohayoyaliyopoeneo la Ununiopembezonikidogomwabahariya Hindi, eneomaaarufu la Ununio Beach,yanayojulikananawakaziwaeneohilokama “KwaWasomali”   
yamekuwagumzokwawenyejinawapitanjiawaeneohilokutokananadhanakuwahuendayakahusishwanasirikubwaambayowakazihaohawakuiwekawazi.
Wakazihaobilakutajamajinayaowamedainimiakakadhaaimepitatokamajengohayoyatelekezweambayohapomwanzowamilikiwalidaikuwayanajengwailiyauzwekwawakaziwamkoawa Dar es salaam nawatanzaniakwaujumla.
“tangumwaka 2012 ujenziwayalemajengoumesimamanawalahakunawatuambaowameyanunuawalawanaokaahiumuisipokuwawalinziewachachetu” alisemammojawawakaziwaUnuniobilakutajajina lake hukuakisisitizakuwahatakikabisajina lake kuandikwa.
“Watuwanasemakuwamajengohayonikwaajiliyakuuzwakwawatanzanialakini cha kushangazahakunamwendelezowowotehukutukisikiahabarizaajabukuhusiananayalemajengo” aliongeza bwana huyo.
Jina la wamilikiwamajengohayo “Wasomali” ndilohasalinalowatiahofuwakaziwaUnuniohukuwakizanipenginekunauhusianonamtandaohatariwakigaidi. Vyombovinavyohusikavimekuwavikisuasuakutoamaelezoyakutoshajuuyauwepowamajengohayo.

No comments:

Post a Comment