WAKAZI WA
VINGUNGUTI WALALAMIKIA UKOSEFU
WA KITUO CHA DALADALA
Wakazi wa vingunguti jijini
Dar es salaam wamelalamika kwa
kukosa kituo cha daladala kwa muda mrefu
sasa hali inayopelekea kuwa na wakati mgumu kipindi wanapokua wanafuata
huduma za usafili hususani kipindi cha masika kwa sababu hulazimika kulowana na
mvua kwa kukosa sehemu za kujistili ili wasiweze kuloweshwa na mvua vilevile
majira ya kiangazi hususani mida ya mchana kwa kuchomwa na jua kali.
Licha ya kupeleka malalamiko hayo katika
sehemu husika na kufanya jitihada kadha wa kadha ikiwemo kumtumia ujumbe diwani wa kata hiyo na viongozi
wengine lakini jitihada hizo azikuzaa matunda.
Isihaka Issa mkazi wa vingunguti alikuwa na
haya ya kuelezea dhidi ya kero hiyo wanayoikumbana nayo ‘’ muda mrefu sasa tangu sisi wakazi wa huku
vingunguti tuanze kuitumia barabara hii ambayo ilijengwa bila kuwepo na
vituo vya kupumzikia abiria,
Vile vile Bw. Isihaka Issa aliongeza kwa
kusema kwamba tatizo hilo ni sugu kwa wakazi wa vingunguti na maeneo ya karibu
na vingunguti na wote wanao tumia njia
hiyo kwa usafiri.
Mwisho bwana Isihaka alimalizia kwa kuiomba serikali na mamlaka
husika kulitafutia ufumbuzi swala ili
hilo kuwaepusha au kuwaondolea kero hiyo inayo wakabili katika nyanja muhimu ya usafiri ikiwa ni pamoja na kuziba
baadhi ya mashimo yaliyopo katka barabara hyo inayofahamika kama kwa buguruni
mnyamani.
Mpaka habari hii inachapishwa jitihada za
mwandishi wetu za kukutana na kufanya mahojiano na uongozi wa eneo hilo azikuzaa matunda kutokana na
sababu zilizo nje ya uwezo wetu.
Na msafiri mohamedi

v
No comments:
Post a Comment