Na Rahma Said
Wanafunzi wa chuo cha
uandishi wa habari (TSJ) kilichopo Ilala Sharfu Shamba wanatarajia kufanya
mitihani ya mwisho wa muhura.
Aliongea hayo mratibu
wa masomo ya chuo hiko Bi BRANDINA SEMAGANGA kuwa mitihani itaanza Octobar 31
mwaka huu hapo chuoni na kumalizika Nov.4 mwaka huu.
Haidha alisema kuwa kwa
asiye kamilisha ada hatoweza kufanya mitiha hiyo mpka akamilishe ada na vigezo
vingine vitakavyomruhusu kufanya mitihani hiyo.
Bi Semaganga alisisitiza na kusema kuwa kwa
yeyote hasiyekidhi vigezo na masharti ya hapo chuoni hataweza kufanya mitiha
hata kama awe amekamilisha ada kwa kutofikisha alama ambazo zinazohitajika uwe
nazo kama mwanafunzi wa hapo na kwa ngazi yoyote ile.
Hata hivyo aliwashauri
wanafunzi kuwa unatakiwa kuwepo kwenyechumba cha mtihani kabla ya nusu saa
mtihani kuanzana kuzingatia mda vilevile na kuwa makini.
No comments:
Post a Comment