Na Fikiri
yusuph abdallah
Ujenzi wa
barabara ya nyerere road iliyopo tazara jijijni dar s salaam mpaka sasa imewez
kuvunja rekodi kwa kiasi kikubwa sana,ujenzi wa barabara hiyo kila kukicha
inaleta mtumaini y watanzania wngi
Wakandalasi
wa barabara hiyo wamesema wanahitaji kufanya kazi usiku na mchana ili mladi huo uweze kumalizika kwa mda ambao waliokubaliana na serikali ya Tanzania.
Pamoja na wafanyakazi wa barabara hiyo wanajitaidi kufanya
kazi kwa bidii kwa dhumuni la kuweza kufanikisha ujenzi huo kwa haraka zaidi ili watu na
watanzania kwa ujumla waweze kunufaika na mladi huo
Hivyo
basi,japokuwa ujunze huo na changamoto za msongamano wa magari lakini mafundi
na makandalasi wanajitaidi kufanya kaazi kwa nguvu.
No comments:
Post a Comment