Tamriha
Hamisi
Dar
es salaam
Wakazi wa maeneo
mbalimbali waishukuru serikali katika suala la uboreshaji na utanuaji wa
barabara katika eneo la Tazara lililopo wilayani Temeke jijini Dar es salaam
jambo h ilo limeonekana kugusa wengi waitumiao barabara hiyo katika shughuli
zao za kila siku.
Hatua hiyo imeonekana
kuwa ya faida na amani kwa wakazi wa maeneo ambayo ni lazima kwao kutumia njia
hiyo katika kufanya shughuli zao na majukumu yao ya kujenga taifa ya kila
siikku katika hali hiyo imeonesha kupendezewa na kushukuru.
Wakizungumza na Safari
255 kwa nyakati tofauti kuhusiana na suala la kuboreshwa na kutanuliwa kwa
barabara hiyo wamesema kuwa wamefanya jambo ambalo lilikuwa kilio kwa muda
mrefu kwa sisi tunaopita njia hizi kwa shughuli zetu za kila siku.
Safari 255 imemvutia waya
mmoja kati ya madereva wa dalala zipitazo eneo hili na kupata haya toka kwake
serikali imetuokoa katika janga la foleni kwani lilikuwa likitupa wakati mgumu
sisi madereva kwa kukatisha safari lbda Buza/Buguruni unashindwa kufika
unaishia Tandika ili uwahi foleni.
Akithibitisha na
kuhakikisha hali ya usalama itavyokuwa shwari kabla na baada ya kuisha kwa
barabara hiyo kwa abiria na dereva na kutokuwa na janga la foleni tena
msimamizi wa usalama barabarani eneo la tazara kwa sharti la kutotaja jina
lake.
No comments:
Post a Comment