Na Tekla zakaria
Ni siku chache tu
baada ya kuamia wapangaji wapya ambaoye ni mke na mume katika nyumba moja mtaa
wa manzese jijini dar es salaam .
Walikuwa ni
wanandoa wa mda mchache sana, hivyo ikatokea mvurugano ambao mke alimuhisi
mumewe kuwa kuna mwanamke wa chumba cha
jirani anatembea nae
Mwandishi aliweza kuongea
na mashuhuda wa tukio hilo, mmoja alisema ni kweli mama huyo ambaye ni jirani
anatembea na mume wa mdada huyo kwasababu walimuona anaongea nae katika simu kwa
sauti ya chini.
Hata hivyo mama
mwenye nyumba alisema kijana huyo alikuwa akionekana kila siku kuwa na mazoeya
ya karibu na dada huyo ambaye hakuwa ameolewa.
Aliongezea kuseama
dada huyo ni mtu wa kuvuruga ndoa za watu hasa wanapokuja wapangaji wapya katika
nyumba hiyo na kufanya watu kubaki vinywa wazi.
Hata hivyo mama
mwenye nyumba atampa notisi dada huyo kwa sababu anaipa jina baya nyumba yake
katika mtaa wake huo.
No comments:
Post a Comment