Hifadhi ya wanyama ya taifa Ngorongoro imewashangaza wanafunzi wa chuo cha uandishi wa habari Tsj kwa vivutio vilivyopo katika hifadhi hiyo hapo kuwa baadhi ya vitu ambavyo vipo katika hifadhi hiyo vipo katika mbuga zingine lakini bado Ngorongoro imekuwa ya kipekee sana .
katika picha inaonesha bango la hifadhi ya Ngorongoro. |
Wanafunzi hao ambao walidhulu katika hifadhi hiyo katikati ya mwezi huu kwaajiliyakujifunza hukuwakiwa na shauku kubwa ya kuona maajabu na vivutio vilivyopo katika hifadhi hiyo ambavyo ni tofauti na hifadhi zingine.
Kati ya moja ya maajabu yanayo patikana ngorongoro ni pamoja na mchanga unaohama mchanga huu ni mchanga waki magnetic mchanga huo unahama kwa mita 11-12 kwa mwaka kutoka mashaliki kwenda maghalibi na mchanga huo nitofauti na mchanga wakawaida ambao time uzoea.
Katika picha inaonesha nyumbu wakiwa wanazunguka huku na kule. |
katika picha inaonesha punda milia wakiwa wa wanazunguka kutafuta chakula. |
Kwa jinsi hiyo ndivyo ambavyo wanafunzi wa Tsj waliweza kujionea uzuri wa hifadhi hiyo ambavyo kwa wakati mwingine ili washangaza pia wanafunzi walipata nafasi ya kuona pia lake magadi hili niziwa la ajabu ambalo maji ya kikauka yanabaki magadi ambayo pia kwa wakati maji yakiwepo maji hayo hayana chumvi wala magadi.
katika picha ni viboko vikiwa kwenye maji na wanyama aina ya nyumbu wakiwa nchikavu . |
Eneo la hifadhi ya Ngorongoro lilianzishwa mwaka 1959 kwa sheria ya bunge CPA 284 kama ilivyofanyiwa marekebisho mwaka 2002.Eneo la Hifadhi ya Ngorongoro mkoani Arusha na ina ukubwa wa kilomita za mraba 8,292.Eneo la hifadhi ya Ngorongoro lipo Kwenye ukingo wa magharibi wa bonde la ufa.
No comments:
Post a Comment